BURIANI MHE. VIOLET BARAKA.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mhe. Violet Baraka (Mbunge wa Ludewa-Njombe South- 1965-1970: Haikuwa VITI MAALUM, LA HASHA).
Nichukue fursa hii kuwapa pole wafiwa wote. Mungu wetu mrehemevu anawajaaliye ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu. Pumzika kwa Amani mama yetu Violet.
Post a Comment