Unknown Unknown Author
Title: UPUNGUFU WA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI:TUME KUWEKEA TAKWIMU SAHIHI HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kume kuwepo na maoni tofauti kuhusiana na upungufu wa walimu wa Hisabati na sayansi nchini,Pamoja na jitihada mbalimbali zinazo fanywa n...



Kume kuwepo na maoni tofauti kuhusiana na upungufu wa walimu wa Hisabati na sayansi nchini,Pamoja na jitihada mbalimbali zinazo fanywa na serikari ili kuhakikisha walimu wenye sifa stahili za kuweza kunguza uhaba wa wataamu hao.
Serikari ime toa kauli hii: 

Serikali imesema kuna upungufu wa walimu 22,460 wa Sayansi na Hisabati katika shule za Sekondari nchini.

Idadi iliyo tolewa na serikari inaweza kutumika kama hatua nzuri ya kujua nini kifanyike ili kukabiliana na upungufu huo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top