Mungu atufanyie wepesi wa Kwaresima iliyombele yetu ili tuweze kuzitiisha tamaa zetu,tuitiishe miili yetu,Tuvitiishe vishawishivysa kutenda na KUFIKIRI maovu ili Mungu ajitukuze kupitia matendo yetu.
Tusije tukawa kama wale wanaobadili ratiba ya kula ili waonekane WEMA mbele ya macho ya wanadamu kwa siku 40 bali tufanye hivyo katika roho na kweli na katika haya tufanye yawe sehemu ya maisha yetu na uwe utambulisho wetu kwani baada ya kitambo kidogo cha amteso kilicho mble yetu ni USHINDI na UFUFUO wa milele,
Katika kazi zetu,katika biashara zetu,eleimu zetu,ndoa zetu,mahusiano yetu,kaitika mikakati yetu ya kiutekelezaji,mifugo yetu,ndoto zetu na katika yote ambayo mikono ya WAUAJI na WELEDI WAO ilidhani ime UA.NINAKUTAKIA KILA LA KHERI NA USHINDI KATIKA KIPINDI HIKI.
Na Mumbe Sr
Mbeya
Post a Comment