Unknown Unknown Author
Title: BONGO FLEVA INA VUSHWA MIPAKA:MJUE MSANII MWINGINE WA TANZANIA AMBAYE MZIKI WAKE UMEANZA KUPIGWA CHANNEL O!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa ambapo Channel O ...
i3Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa ambapo Channel O ni kituo mojawapo kati ya vituo vinavyoaminika kwa kusambaza upendo na kuonyesha wanachofanya Waafrika.
Imekua ni sherehe au furaha kubwa sana pale Mtanzania anapopata nafasi ya video yake kuchezwa Channel O ambapo baada ya Weusi na yao ya ‘nje ya box’ sasa ni staa kutoka 87.8 Mbeya ndio anaichukua headline.
i1
i2
qqqqqqqqqqqqqq

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top