Unknown Unknown Author
Title: SHEREHE ZA MIAKA 50,MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Viongozi waliohudhuria Kongamano hilo, wakiwa meza kuu. Wa pili (kulia)  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamm...
gharib.jpg2.jpg3_56f3b.jpg
Viongozi waliohudhuria Kongamano hilo, wakiwa meza kuu. Wa pili (kulia) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto) Makamu wa pili wa Rais wa Zanznibar, Balozi Seif Iddi, (wa pili kushoto) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) na (kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais, Mohamed Aboud. (Picha na OMR)
gharib.jpg2_f9bf4.jpg
Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, leo Aprili 19, 2014. (Picha na OMR)
gharib_3b465.jpg 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Aprili 19, 2014.
 Picha na OMR (FS)

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top