Unknown Unknown Author
Title: "HISTORIA....!" KAMERA YA MDAU WETU ANAYE ISHI KIJIJINI! MITA CHACHE TU NJE YA MJI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Pichani Chambo anawekwa Vizuri ili Samaki Anaswe     Shughuli Sharti Impate Mushughulikaji "Kabla hata ya Uzee haujaja Walisha...
   Pichani Chambo anawekwa Vizuri ili Samaki Anaswe
    Shughuli Sharti Impate Mushughulikaji
"Kabla hata ya Uzee haujaja Walisha Sema Alikuwaga...." Lady Jay Dee

Nasikitika Wengi wetu Tunao Jua Hii Lugha ya Kiswahili Tuna Uficha Ukweli huu,Ukweli AMbao Ndio Umebeba Maisha ya Tulio Wengi na Maisha yatakayo kuwa Hatima ya Wanetu.Wote Tume Geukia Kuripoti Matukio na Kupakua Picha Zilizo Fanyiwa Uhariri(Editing).
Tume Geukia Ufahari wa Machoni Tume Uacha Uhalisia Wetu.Tuna Tamani Hata Kamera Ianze Kudanganya,Igeuze Mazingira yetu yaonekane kama Ng'ambo.
Nivema Kutamani Maisha ya Kifahari Lakini ni Vizuri zaidi kama Wachache Tuta Hifadhi Maisha Ya Jamii yetu na Sio Kujikita kuhifadhi Historia ya Wale Maarufu wachache au Kikundi Cha Watu Flani.Tujaribu hata Kushuka kwenye Magari ya Misafara ya Viongozi na Kuelekea Mita Chache tu nje ya Miji yetu mikubwa... Tugeuze Kamera Zetu Nje ya Miji... Tusijidanganye Kusafiri kwa Ukomo wa Barabara za Lami Tuvuke nje ya Lami! Tufanye Zaidi ya Biashara.
Maana Tuna Rudia Makosa waliyo Fanya Walio Tangulia... Walihifadhi Historia Za Machifu na Viongozi wa nyazifa au kariba kubwa na Kupuuza Maisha halisi yanayo Wazunguka,Maisha ya Jamii wanayo ishi nayo MAISHA YAO!

MJUMBE Sr
Near Boarder


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top