Unknown Unknown Author
Title: UTAMPA NANI TZSH MILIONI 25? ZA MAISHA PLUS! ININGIA UWA JUE WASHIRIKI HAPA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
UTAMPA NANI TZSHS. MILIONI 25? Tunarudisha usukani tena kwako mtazamaji na mpenzi wa kipindi cha Maisha halisia cha Maisha Pl...



UTAMPA NANI TZSHS. MILIONI 25?

Tunarudisha usukani tena kwako mtazamaji na mpenzi wa kipindi cha Maisha halisia cha Maisha Plus. Hawa hapa vijana 16 ambao wamefanikiwa kuingia fainali. Mmoja kati yao, mmoja tu, ndiye atakayeibuka mshindi wa kitita cha Tzshs. Milioni 25 kwa ajili ya mradi atakaopendekeza.

Kwa kuwa wewe ndio mwamuzi, wito wetu kwako ni kukuomba uanze sasa kufuatilia maisha yao hapa kijijini ili uweze kufanya maamuzi sahihi wakati wa upigaji kura.

Je utamchagua mchapakazi, mvivu, mcheshi, msumbufu, mwanamke, mwanaume, mwenye nywele ndefu au fupi? Kazi hiyo tunakuachia wewe.

Kupiga kura ni rahisi kabisa, andika namba ya mshiriki mfano MP 00 kisha unatuma kwenda +255 689 666 662.

Unaweza pia kupiga kura mtandaoni kupitia:
http://voting.maishaplus.tv/index.php/voting/maishaplus

Maisha Plus REKEBISHA/Mama Shujaa wa chakula inakujia kwa msukumo wa Oxfam na Bill and Melinda Gates Foundation.


MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top