Unknown Unknown Author
Title: ITIKADI ZETU:INGIA HAPA UJIONEE NAFASI ZA KAZI KWA WALE TUNAO JUA KUSOMA NA KUANDIKA TU! KUJITEGEMEA SIO KUJITENGA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
        Mzigo Unaelekea  Sokoni;Ingawa Soko la Kuku Mlowo bado lipo duni saana! Bei Siijui Nitaipanga mbele hukuhuko!  Pichani:Mdau w...
        Mzigo Unaelekea  Sokoni;Ingawa Soko la Kuku Mlowo bado lipo duni saana! Bei Siijui Nitaipanga mbele hukuhuko!
 Pichani:Mdau wa Mjumbe Akiwa Amesha watoa kuku kadhaa kupeleka Sokoni ambao Walionekana ni Majogoo Bandani(kulia Pichani) ili wabaki tetea tu kwa ajili ya Kuvuna Mayai


Pichani Watoto Wa Mtaani wameamua kuchukua Nafasi yangu na Kutoa msaada wa kusukuma Mkokoteni

Haihitaji Usome Mpaka Chuo kikuu wala haihitaji Upewe Semina.Kazi ndicho kipimo cha Utu.Lazima ifike kipindi Ufanye kazi Halali.NGUVU UNAZO,AKILI UNAZO Kwanini Usijishughulishe??????
#Siku njema.
Elasto Mbella
MBOZI/MBEYA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top