Waombolezaji
wakiwa wanalishusha Jeneza lilibeba Mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya
ya Rukwa Moshi Chang'a Nyumbani Kwake Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es
Salaam jana Aprili 22, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kushoto na Mkewe Tunu Pinda wakitoa Heshima zao za
Mwisho Mbele ya Jeneza lililobeba mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya
Rukwa, Marehemu Moshi Chang'a Nyumbani kwake Mbagala Kibonde Maji jijini
Dar es Salaam jana Aprili 22, 2014.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Familia ya Marehemu Moshi Chang'a
Nyumbani Kwa marehemu Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es Salaam jana
Aprili 22, 2014.
@MJUMBE Sr
Post a Comment