Unknown Unknown Author
Title: RAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki w...
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya JamboLeo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi..
Chanzo:Mjengwa
Na mjumbe Jr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top