Unknown Unknown Author
Title: SIO CCM NI SISI WENYEWE! MBOZI;MLOWO:WAME NG'OA KOKI KWENYE MABOMBA YA VITONGOJI ILIWAUZE MAJI KWENYE MADUMU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha:Ni Baadhi ya Mabomba Katika mji mdogo wa Mlowo yakiwa hayana koki na haya toi Maji   Picha Wauza Maji Katika Mji Mji Mdogo wa Mlo...
Picha:Ni Baadhi ya Mabomba Katika mji mdogo wa Mlowo yakiwa hayana koki na haya toi Maji
  Picha Wauza Maji Katika Mji Mji Mdogo wa Mlowo wakiwa Wanaendelea na Biashara zao kama kawaida.Mita Chache Mbele ni Mabomba yakiwa Hayatoi Maji tena.

         Picha Maji yakisambazwa kwa watumiaji na Kijana amabaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja,Mji mdogo wa Mlowo.

Kuna kipindi Unaweza Ukatafuta mchawi wa Maisha yako,ukazunguka kila mahali ili Upewe dawa za Mazindiko,Lakini Ukajikuta bado hupati nafuu! Na kama ukiwakuta Wazee wezi  Watakuwa wana kula pesa zako kila Siku.Maana badala ya kutoa Sadaka kwa yatima na wagonjwa Walio kosa misaada mahospitalini wewe Utakuwa unapeleka kwa Huyo Mshirikina wako bila kujua Kinacho kutesa ni FIKRA zako mwenyewe.

Serikari Imejitahidi kadri ya uwezo wake kutengeneza miundo mbinu ili kwa kiasi kidogo cha wale watakao guswa wafaidi huduma za Kijamii,Kama Vile Afya,Maji,Elimu na Hata Bara bara pia.
Lakini Wananchi Tuna taka Serikari ndio Iwe mtunzaji wa kile kinacho Tusaidia Sisi Wenyewe! Haya ni maradhi yetu.Tume Kosa Ile Hali ya Kutoa Ushirikiano.

Ukikatiza Mji mdogo wa Mlowo Utakutana na Magema ambayo lengo lake ilikuwa yatumike kutoa maji Lakini Leo Hakuna hata Tone la Maji Bali Pembeni yake Unaweza Kuona Kuna Madumu yenye Maji yanayo uzwa bei kuliko Gharama za Awali zilizo kuwa Zikitozwa na Serikari kwenye maji ya bomba.
Ikumbukwe Miundo mbinu ya maji yote Imejengwa kwa Kodi zetu wenyewe;Tunapo iharibu Tuna Kuwa Sehemu ya Wafanyao Ufisadi na wahujumu Uchumi wa Nchi yetu.
Wakati huo huo Kila siku Majukwaani na vijiweni Tuna jadili Matendo maovu ya Viongozi tulio wapa Ridhaa watuongoze.Tuna pata wapi nguvu hizo?

ELASTO MBELLA
MBEYA/MBOZI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top