Unknown Unknown Author
Title: UJUMBE ALIO UANDIKA "MWANAKIJIJI" KWENYE UKURASA WAKE;BAADA YA MAONESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  Mimi Mwanakijiji Wazo korofishi: Ingekuwa maonesho yabkiheshi na zana za kivita yanashinda vita au kuzuia watawala wasion...
Wazo korofishi: Ingekuwa maonesho yabkiheshi na zana za kivita yanashinda vita au kuzuia watawala wasiondolewe basi Col. Gaddaffi angekuwa bado madarakani na Hosni Mubarak vile vile. Rais wa Ukraine asingekimbia watu wake wakati alikuwa na majeshi ya kila namna. Unaweza tu kuwatisha watu kwa silaha na mitutu ya bunduki lakini huwezi kuwafanya wakupende. Uongozi ni zaidi ya vitisho..ni ushawishi wa hoja maridhawa zenye kusimama kwa ushahidi wake.
 
MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top