Picha Ikionesha Mizizi(Chakula) ni karanga na Viazi
Na Tunda pembeni;Maparachichi ya Mbeya haya
Pichani ni Ndugu yangu ALEX KAKYELA;Jana Round About ya Mlowo akitununuliwa Zawadi ya Mizizi(Numbu)! Kuna Hadithi kuwa ukiona mgonjwa anaye kataa Kula hata numbu....! Ooooh.#KUBALI MATOKEO.
Picha Zote kwa Hisani ya Kamera yetu
Najivunia Kuendeleza Utamaduni huu....
Hakika kuna wengine hivi vyakula wame ishia kuvijibia mitihani yao shuleni Lakini hakuna siku walipo Eleweshwa kwamba Ile mizizi waliyo kuwa wana itumia wazee wetu wa kale kama chakula ni ipi? Na wanapo ambiwa kuwa Wazee wa zamani walikuwa wana kula mizizi na matunda poli Haiwaingii akilini.Nimeona itakuwa vema kama nita share na watu wangu Historia hii! Hasa wale amabo kila kitu kwao wana Fuata Super Market.
ELASTO MBELLA
MBEYA/MLOWO
Home
»
»Unlabelled
» KI RAS TA FARAI:HUWEZI AMINI LEO NIME PIKIWA MIZIZI NA MATUNDA PEMBENI....! JANA NILIPEWA MIZIZI PIA!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Recent Posts
- ALIYE KUWA ANAHAMISHA KATI YA SHILINGI MILION 7 au 8 KILA DAKIKA,ADAKWA NA MAGUFULI!30 Jun 20160
'Tulikuwa tunafuatilia kwenye revenue, yuko mtu mmoja alikuwa anafanya transactio...Read more »
- "HARAMBEE" UKARABATI OFISI YA WALIMU LUNGWA:WAJUE MADIWANI WANNE WA CCM WALIO SHIRIKIANA NA WANANCHI WAO!29 Jun 20160
Pichani kutoka kushoto ni Diwani wa Viti maalumu Bi Mbaya Isabela ambaye ni mwenyekiti wa wanawak...Read more »
- PITIA PICHA HIZI:UNGEKUA WEWE NDO MZAZI WA WATOTO HAWA UTAFANYAJE?29 Jun 20160
Picha ya kwanza unakuta Mwanao kanyofoa vibofyeo vyako vya Kopunta Mpakato yako kama hivyo Unarud...Read more »
- MAARIFA YA JAMII:IJUE "MITI" MAARUFU TANZANIA HAPA!28 Jun 20160
Like Page · Ifuatayo ni baadhi ya miti maarufu Tanzania iwe ili pandwa au ilijiotea yenye...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.