Wawakirishi wa Tanzania katika mashindano ya CECAFA Nile Basin Cup
Mbeya City jana wameshindwa kukaa kileleni mwa kundi B la michuano hiyo
baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa AFC Leopards.
Katika mchezo huo uliokuwa ni wakuvutia na wakasi AFC Leopards ndio walianza kupata mabao huku Mbeya city wakipata bao lao la kufutia machozi kupitia kwa mshambuliaji wake Deus Kaseke..
Kwa matokeo hayo AFC Leopards imejiweka kileleni kuongoza kundi B ikiwa na jumla Pointi 6 Mbeya city ikibaki na pointi zake 3 ilizo vuna katika mchezo wa kwanza iliposhinda kwa mabao 3-2.
MJUMBE Sr

Post a Comment