Unknown Unknown Author
Title: MSANII WA BONGO MOVIES RACHEL AFARIKI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii ...


Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia. 
Chanzo: East Africa Television

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top