Unknown Unknown Author
Title: NI MWAKA MMOJA TOKEA ALBERT MAGWAIR AIAGE DUNIA....
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ilikua ni mchana May 28 2013 ndipo zilipotoka taarifa ambazo kulingana na ukubwa wa jina la mangwea Tanzania hakuna aliyekua tayari kuami...

ngwea
Ilikua ni mchana May 28 2013 ndipo zilipotoka taarifa ambazo kulingana na ukubwa wa jina la mangwea Tanzania hakuna aliyekua tayari kuamini kama ni kweli Mangwea kafariki dunia,zilianza taratibu za kuthibitisha taarifa hizi ambapo baadae ilithibitika kweli Mangwea amefariki dunia.
ripMpaka sasa ripoti kutoka hospitali ya South Africa familia haijawa tayari kuiweka wazi,kutoka Morogoro nimepata taarifa kuwa leo kutakuwa na ibada asubuhi kisha jioni kutakua na tamasha la kumkumbuka Mangwea ambapo itakua ni kumchangia mama yake Mangwea na imeandaliwa na baadhi ya wadau wa Morogoro na kupata baraka toka kwa Familia ya Mangwea.
IMG-20140525-WA0001
  Chanzo:Millard ayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top