Picha Hii Nime Tumiwa na Rafiki yangu ambaye pia ni mdau wa MJUMBE BLOG Alinitumia picha hiyo na Kuandika Maneno haya!
"...Huyo Unaye Mwona Kushoto Pichani ni Mtela Mwampamba na Kulia kwake ni Mizengo Pinda(Waziri mkuu wa Tanzania) na Katikati kabisa ni Mhe.Jakaya Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano;Picha Hii inaonesha sio kuwa Ameomba wapige Picha ya Ukumbusho Bali ina onesha kila mmoja ameridhia kupiga Picha..."
Hayo ni Maneno ya Rafiki yangu ambaye ana amini nina mjua vema Mtela Mwampamba,si Kwakumsikia Mitandaoni bali kwa Kuishi kama Si tu Jirani Bali Kama Mdogo na Kaka!
Pia Anajua nina jua Vema kuwa Amewahi kuwa mgombea wa kiti cha Ubunge jimbo la Mbozi Mashariki kupitia CHADEMA aka jizolea zaidi ya Kura Elfu 35! Na akakubali kushindwa zidi ya aliye kuwa mpinzani wake Mhe.Godfrey Zambi.
Vuguvugu la kisiasa na Hali ya Sinto Fahamu ndani ya CHADEMA Ili mfanya afutiwe uana chama ndani wake na Akaamua Kuhamia CCM.Leo ni Mwana CCM.
Kilicho nifanya ni guswe na Ujumbe wa Rafiki yangu ni UKWELI Kwamba Kuna Mwaka nimewahi Zuiliwa si kumpiga Picha Rais Jakaya Kikwete bali Hata Kuchukua Picha Eneo analotegemea Kufikia na Kufanyia Mkutano wake! Hapo Nili wekwa Chini ya Uangalizi wa Makacheo! Naikumbuka vema Siku ile.
Picha ya Leo Ina Mafunzo Mengi Kwetu hasa Kuhusu Maisha Yetu na Wajibu Wetu kama Jamii kwa Taifa Letu.
ELASTO MBELLA
NJOMBE
Home
»
»Unlabelled
» PICHA YA LEO! HUYO UNAYE MWONA KUSHOTO NI MTELA MWAMPAMBA NA KUSHOTO NI WAZIRI MKUU PINDA! KATIKATI NI MHE.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.jpg)
Post a Comment