Unknown Unknown Author
Title: WIZARA YA ARIDHI YABANWA BUNGENI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kambi ya Upinzani Bungeni imeitaka serikali kusitisha...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kambi ya Upinzani Bungeni imeitaka serikali kusitisha zoezi la ugawaji wa ardhi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi mpaka pale itakapobainika ni kiasi gani cha ardhi kilichopo kwa wawekezaji,ili kuepusha migogoro ya ardhi nchini ambayo inaendelea kusababisha vifo vya watanzania wasio na hatia
Kwa mujibu wa Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka amekanusha kuwepo migogoro ya ardhi.
Kwa mujibu wa Halima Mdee Msemaji kutoka Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni waziri kivuli wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi amesema
Wizara inatakiwa kufanya tathmin ambayo kwa kiasi kikubwa itapunguza migogoro miongoni mwa wananchi na wawakezaji hasa wa kigeni.
Esther Bulaya ni Mjumbe kutoka kamati yaBunge Maliasili na mazingira kwa niaba ya kamati hiyo anasistiza kufuata kwa sheria katika kutoa vibali vya ujenzi wa magorofa nchini.
Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi Prof Anna Kajumulo Tibaijuka amewasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa wizara yake ambapo ameomba shilingi bilioni 11.5 kwa ajili ya mishahara na matumizi mengine katika wizara hiyo.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top