Picha:Gari aina ya Roli la Mafuta ya Petroli likiwa Lime acha njia maeneo ya Igurusi Mbeya Leo Mchana.
Pichani:Baadhi ya Watu ambao hawakujulikana majina yao mara moja wakiwa Eneo la tukio kujaribu kunusuru na kulisogeza gari nje kidogo ya Barabara kuu kama walivo onekana pichani.
Mashuhuda wa Ajali hiyo wana sema Roli hilo liliacha njia na kuingia Pembeni kabisa ya barabara na hakuna Aliye Jeruhiwa katika ajali hiyo.Iliyo Sababisha Eneo kuwa Hatarishi kwa Madereva wanao Tokea Mbeya na Wale Wanao Tokea Iringa.
Kwani Katika hali ya sintofahamu,Tahadhari zozote hazikuwekwa eneo la Tukio jambo ambalo Limekuwa Hatarishi kwa Binadamu yeyote aliye kuwepo eneo la Tukio.
Picha Zote Na Kamera Yetu
MJUMBE sr
AJALI NYINGINE IGURUSI MBEYA!
Title: AJALI NYINGINE IGURUSI MBEYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha:Gari aina ya Roli la Mafuta ya Petroli likiwa Lime acha njia maeneo ya Igurusi Mbeya Leo Mchana. Pichani:Baadhi ya Watu ambao h...


Post a Comment