Unknown Unknown Author
Title: HABARI NJEMA KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA MBEYA CITY:MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI....! INGIA HAPA UMJUE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MBEYA City Council FC Ndugu wana mbeya city council football club kampuni ya Binslum imeidhamini mbeya city kwa miaka miwili kwa gh...
Ndugu wana mbeya city council football club kampuni ya Binslum imeidhamini mbeya city kwa miaka miwili kwa gharama ya shilingi za kitanzania milioni mia tatu na sitini 360 000 000. Hapo pichani ni mkurugenzi wa Binslum pamoja na mwanasheria wa halmashauri ya jiji la mbeya wakisaini mkataba huo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top