
Nilikua katika mishemishe mjini..nikapanda hii bajaji ambayo ndan nyuma nilikuta wenzangu wawili na kufikiri tushajaa.Bwana eeeh si jamaa mmoja kaja kukaa siti ya dereva mbele nikaduwaa..dereva kapiga gia na bajaji ikaondolewa.. Ni balaaa mjini hapa.
Mjumbe jr
Morogoro.
Post a Comment