Unknown Unknown Author
Title: HUWEZI AMINI T.I AONGEA LUGHA YA KISWAHILI KUHUSU UGOMVI WAKE NA MAYWEATHER!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni muda wa kuendelea kuipigia debe lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwa kuwa inazidi kukubalika na kutumika nje ya nchi na watu am...
Muangalie T.I Alivyoongea Kiswahili Kuhusu Ugomvi Wake Na Mayweather

Ni muda wa kuendelea kuipigia debe lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwa kuwa inazidi kukubalika na kutumika nje ya nchi na watu ambao labda usingewategemea.
TI AND MAYWEATHERT.I ameingia katika rekodi ya wasanii wakubwa wa Marekani waliowahi kuongea maneno ya Kiswahili katika wakati ambao hautarajiwi.
T.I amefunguka kwa Kiswahili alipokuwa akifanyiwa mahojiano na TMZ tena barabarani kuhusu ugomvi wake na Mayweather.
Jamaa hakutaka story zozote kuhusu ugomvi huo na kumwambia jamaa kuwa kila kitu kiko poa yaani Hakuna Matata.
‘Hakuna Matata’ that means everything is wonderful for the rest of your days.’
@Sam Misango


MJUMBE Sr


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top