Unknown Unknown Author
Title: MATUKIO PICHNI:NI LOWASA TENA! WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.EDWARD LOWASA AKIZINDUA BWAWA LA MAJI LA LEKENI,SELELI WILAYANI MONDULI LILILO GHARIMU ZAIDI YA BIL.NA NUSU TSH!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mhe Edward Lowasa Waziri mkuu Mstaafu akifungua Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Bwawa la maji la leken kata ya Seleli wilayani Monduli. ...

Mhe Edward Lowasa Waziri mkuu Mstaafu akifungua Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Bwawa la maji la leken kata ya Seleli wilayani Monduli.
Waziri mkuu mstaafu akiwa ame ongozana na Mkewe Mama Regina Lowasa wakikagua Bwawa la Maji la Lekeni,kata ya Seleli wilayani Monduli Jana June 06 2014.

Bwawa hilo ambalo lime gharimu kiasi cha Shilingi Bilioni moja na Nusu lina urefu wa Kilometa Moja na Nusu.
Picha Zote Mali ya Ukurasa wa Mhe.Edward Lowasa.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top