SILAHA za kivita zikiwamo za AK 47, SMG na nyingine zimekuwa zikiingizwa nchini kinyemela kutoka Kenya, imeelezwa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Tarime/Rorya, Justus Kamugisha amesema silaha hizo zimekuwa zikiingia nchini kinyemela kupitia vichochoro ambavyo ni vigumu kuvidhibiti kutokana na mazingira yake.
Ndugu yangu mwandishi suala la hapa mpakani lina changamoto zake... kuhusu silaha kuingia Tanzania kutoka Kenya hilo lipo si kwamba zinangia kwetu la hasha nyingine Na Benjamin Masese
SILAHA za kivita zikiwamo za AK 47, SMG na nyingine zimekuwa zikiingizwa nchini kinyemela kutoka Kenya, imeelezwa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Tarime/Rorya, Justus Kamugisha amesema silaha hizo zimekuwa zikiingia nchini kinyemela kupitia vichochoro ambavyo ni vigumu kuvidhibiti kutokana na mazingira yake.
Ndugu yangu mwandishi suala la hapa mpakani lina changamoto zake... kuhusu silaha kuingia Tanzania kutoka Kenya hilo lipo si kwamba zinangia kwetu la hasha nyingine.
CHANZO:MTANZANIA
Post a Comment