Unknown Unknown Author
Title: WANNE WAFARIKI KWENYE AJALI YA NDEGE KENYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
WANNE WAFARIKI KWENYE AJALI YA NDEGE KENYA! Watu wanne wamefariki katika ajali ya Ndege ya mizigo iliyotokea asubuhi hii katika eneo la Em...
WANNE WAFARIKI KWENYE AJALI YA NDEGE KENYA! Watu wanne wamefariki katika ajali ya Ndege ya mizigo iliyotokea asubuhi hii katika eneo la Embakasi, Nairobi nchini Kenya. Ndege hiyo ya Mizigo ilianguakia juu ya nyumba mbili zilizoko eneo hilo la Embakasi, hali iliyosababisha watu wanne kufariki katika ajali hiyo na watu wawili waliokuwa katika nyumba hizo kujeruhiwa vibaya. Miili yote ya watu wanne waliokufa katika ndege hiyo imefanikiwa kutolewa. Credit:bbc

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top