REJEA YETU LEO:USINIPE PESA, NIPE KAZI;PESA NIKOPESHE NTAKURIPA!
#@@Ni KAZI KUPATA FEDHA....
NI KAZI ZAIDI Kuhifadhi Fedha!
Ni KAZI RAHISI KUTUMIA FEDHA!
####@###
Kimsingi Ukishaona Watu Wana Shindwa Hata Kukuachia;Ushike Fedha Zao Hata Kidogo tu,Kunahaja ya KUJITAFAKARI UPYA!
==UKWELI NI KWAMBA HATA HAO UNAO ONA LEO WANA FEDHA;WAME UZA IMANI KWA WENYE FEDHA KWANZA.
++++++=====#Na Maanisha Laiti kama Yule Mbwa Anaye UFUKIZIA MKIA WAKE Mwenyewe Ange Pumzika Kidogo tu,Aka FIKIRI Upya....
Akaondoka Zake aende.... Ange Staajabu Kuona Ule Mkia Alio Tumia Zaidi ya Nusu saa Kuukimbiza Ili Aukamate,Hakutumia Hata Sekunde Kufanya Umfuate...." Mkia Kufuata Kichwa ni Kawaida;Kichwa Kufuata Mkia ni UTAPIAMLO.
==NA Wengine Wana Vyumba Ila Mzigo Ulio Ndani ya Duka Una Mwenyewe!
==WANATUMIA VEMA "IMANI/UAMINIFU" NA WANA MATARAJIO SIKU ZA USONI KUSIMAMIA MIRADI YAO Bila Kuathiri IMANI YAO YA AWALI.
######
Angalia Fedha Isikufanye Mtumwa;Itakudhalilisha.
WENGI Wametumiwa Kuwapa Mitaji Wengine Kwasababu Walitanguliza Hitaji lao la Fedha Kwanza!
#####
Ila Pia Ni VEMA Kama Mzunguko wa FEDHA Utakupitia na Wewe Pia
Maana FEDHA ndicho Kirahisishi cha Mbadilishano bali UFAHAMU ni Tunu ya Mwenyewe.
%%%%NUNUA UFAHAMU;USINUNUE FEDHA! USIKOSE FEDHA YAKO Hata Kama ni Kidogo!
####@@@INA Niboa Sana;Kijana Wakike/Wakiume Anachagua KAZI Muda Wote Anashinda Kwenye Dressing Table ya Mzazi wake/Rafiki yake!
KAZI Ngumu anayo ifanya ni Kuchuchumaa Ili Ajisaidie haja kubwa.
Halafu Anasubiri Apewe Ofa na Wengine Wanavuka Mipaka Wanaomba FEDHA.... What F***? UNAOMBA FEDHA? Wewe Unaomba FEDHA?
Ni Mwiko Kuomba Fedha;Ukiona Huna Fedha Kopa Fedha!
Kesho Mwenye Deni lake Akiwahi Kukugongea Utajifunza Kuwahi Kufanya Kazi ili ULIPE Deni lake.
USITENGENEZE Marafiki wa Kukupa Fedha;Tengeneza Marafiki wanao Kupa Kazi! Wanao Kukopesha kwa Muda na Kukudai Kwa nguvu zaoZote hata kwa Kukupeleka Rumande ili Uwalipe Deni.
#####@### Na Kama Kuna Rafiki humu anaye Fikiri Nisipo Mpa Fedha sina Maana Ajitoe mwenyewe na Kama Anadhani Mimi nirafiki yake Kwasababu Ninataka awe ananipa FEDHA na AFE AZIKWE.
FEDHA HAIOMBWI;INATAFUTWA KWA BIDII NA MAARIFA.
Kuomba FEDHA ni Sawa na Kuomba HAKI yako;HAKI Haiombwi.
~~~~~~~@~~~~~~NI KAZI KUPATA FEDHA;BILA FEDHA NI FEDHEHA.
ZINGATIO:KUMBUKA WEWE NI KICHWA;SIO MKIA Kama Wanavyo Taka WAKU KARIRISHE wao!
NG'AMUA.
Post a Comment