KAMERA YETU:TASWIRA YA MITAA MBALI MBALI NJOMBE LEO MCHANA!
Hodi Njombe,Ujumbe Hapo Juu Unajieleza!
Hapa Nali Tazama Soko lenye Mseto wa Bidhaa mkabala na Vibanda vya CCM
Nawaona wazee wa Boda Boda wame Tega Abiria wanao Tokea Sokoni
Uelekeo wa Makambako Barabara Iendayo Songea Ukiwa Njombe leo Mchana
Ng'ambo Ileee Nime Simama Bababara ya Msikitini Hapa,Njombe
Picha Zote NA MJUMBE BLOG
Post a Comment