Unknown Unknown Author
Title: SCENE TWO,PICHA ZAIDI YA TATU ENZI ZA UHAI WA BETTY KABLA HAJAFIKWA NA UMAUTI ULIO ZUA UTATA:IJUE SABABU ILIYO MFANYA ATUKANWE TWITER... ...ALIBAKWA NA KUACHWA MTARONI HUKU AKIWA HANA FAHAMU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya n...
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda hawezi kuwa Rais.
MALISA AFUNGUKA TENA... Quote By Malisa Godlisten Okey. Hii habari nimeiandika mimi. Bila shaka aliyeiweka hapa ameitoa kwenye ukurasa wangu wa facebook. Betty alikua schoolmate wangu Majengo sekondari, baadae akaenda UDOM nami SAUT. Nimeona baadhi ya maswali yaliyojitokeza na possibly aliyeiweka mada hapa ameshindwa kujibu though ukweli mada ipo wazi. Kuhusu alipookotwa Betty ni Mikocheni. Kuhusu utaratibu wa kuagwa ni kesho Muhimbili, kuhusu maziko yatafanyika Dodoma. Kuhusu waliokua wanamharass kwny social media ni pamoja na Diva wa Clouds fm (nimeattach post ya Diva inayoonesha as if kafurahia kifo cha Betty). Kuhusu umaarufu alikua mwanamitindo wa Swahili fashion together with Mustapha Hassanali na Jokate Mwegelo. Na ofcoz alishaanza kuwa maarufu kwny hayo mambo ya mitindo. Anyway kama mnataka kujua umaarufu wake alikua mwanamitindo wa Swahili Fashion na partners wake wakiwa Mustapha Hassanali and Jokate Mwegelo. Waliouliza may be sio wafuatiliaji wa masuala ya fashion ndo maana hawamjui, but wengi wanaofuatilia issues za mitindo they know her. Hatahivyo sijaandika makala hii kwa ajili ya umaarufu wake. Nimeandika coz nimeguswa sana na kifo chake. She was my schoolmate at Majengo, and last year she graduated UDOM, B.A International Relations bt akaamua kujikita kwny mambo ya modeling. However sidhani kama ni sahihi kujua mtu ni nani ndo umtetee. Wote mliouliza huyu dada ana umaarufu gani, did u mean ktk kutetea haki inatakiwa kwanza umjue mtu? Km ndivyo mlivyomaanisha i think mmekosea. Either mnamjua Betty au hamumjui itz not an issue. The issue ni aliyofanyiwa. Je alistahili? Tusiposema sisi tulio hai kwa kuwa tu hatumjui, nani atasema? Je mnataka Betty aibuke kutoka kwny mauti aje kutetea haki yake? Kumbukeni the dead cannot cry out for justice. It is a duty of the living to do so for them.! So hata kama Betty angekua a mere citizen ktk nchi hii asiyejulikana na yeyote we could still plee for her justice. We could still shout "JUSTICE FOR BETTY" Im here to answer anymore question kwa ambaye hajaelewa Makala yangu. MALISA GJ.!
Timu yetu ya MJUMBE BLOG inaendelea kulifuatilia suala hili kwa undani zaidi, endelea kutufatilia upate habari zaidi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top