Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA PICHA KUTOKA KIJIJINI:KAMA WA CHINA WANA ISHI KWA AMANI NA FURAHA;WENYE NCHI TUNA SABABU YA KUWA NA FURAHA ZAIDI.....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha Na Maktaba Yetu ya MJUMBE BLOG Picha hii ili pigwa Mwaka Jana Siku ya Uziduzi wa Mradi wa Chuma cha Liganga. Naam; Kama Wachina W...
Picha Na Maktaba Yetu ya MJUMBE BLOG Picha hii ili pigwa Mwaka Jana Siku ya Uziduzi wa Mradi wa Chuma cha Liganga. Naam; Kama Wachina Wanaishi Kwa Uhuru,Amani na Furaha Hapa Liganga... ...Why Not me! Kwanini Isiwe Sisi? Hasa Ukizingatia Sisi ndiyo Wa Tanzania Wenyewe Katika Maana Ndiyo wamiliki Wa Vyote Vile Vilivyo Aridhini katika Milima na Mabonde ,Hifadhini na Majini chini ya Mito na Bahari. Tuna Kila Sababu ya Kuishi Maisha Yenye Furaha! Sambaza Hepi,Uwe Sehemu ya MAFANIKIO ya Nchi yako! Sisi Tuna Amini Picha Halisi Ina weza Ikajieleza Zaidi Kuliko Tunge Subiri aje MWANDISHI WA HABARI Aandike Hata Maneno Milioni Moja Kuhusiana na Picha Hii Hapa Juu. MJUMBE BLOG Tumedhamiria Kuhifadhi Picha Hizi Mtandaoni Kwa Manufaa ya Kizazi Kijacho na Kwa Manufaa ya Kuienzi Histotria Yetu.Na Sio Vinginevyo. Hatukuja Kupora Kazi na Taaluma Za Watu Hapa. Na MJUMBE WETU

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top