Unknown Unknown Author
Title: HIZI NI PICHA:AJALI YA SKONGE ILIYO UA ABIRIA 16 NA KUJERUHI WENGINE 70 MPAKA SASA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hali ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya basi la Sabena lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na bas...
Hali ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya basi la Sabena lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na basi la A.M. toka Tabora kwenda Katavi kugongana uso kwa uso. Dreva wote wa mabasi hayo wamefariki hapo hapo, mmoja akiwa amekatika kichwa.
Abiria kadhaa wakiwa wamenasa katika mabasi hayo, baadhi wakiwa wamekatika mikono na miguu. Abiria wapatao watano wamefariki hapo, na majeruhi zaidi ya 30 wamepelekwa katika Hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge. Update hadi sasa mganga mkuu wa hospital ya mkoa wa tabora amedhibitisha kuwa waliofariki ni watu 16 tu, na majeruhi 70. Asante Kibonajaro

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top