Unknown Unknown Author
Title: PICHA:MHE.RAIS ALIPOKUWA AKIWASILI DODOMA ILI KUSHIRIKI VIKAO VYA KAMATI KUU;BUNGE MAALUMU LA KATIBA LINALO ENDELEA LAPEWA BARAKA ZOTE!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha Mhe;Rais Jakaya Kikwete alipo kuwa akiwasili Mjini Dododma Juzi ili kushiriki Kikao cha Kamati Kuu Pichani ni Baadhi ya Makada wa C...
Picha Mhe;Rais Jakaya Kikwete alipo kuwa akiwasili Mjini Dododma Juzi ili kushiriki Kikao cha Kamati Kuu
Pichani ni Baadhi ya Makada wa Chama Tawala walio Wathiri Uwanjani Hapo Kumpokea Mhe.Rais Katika Kikao cha Kamati kuu Kilicho fanyika Mjini Dodoma Juzi Pamoja na masuala mengine ya Kichama Kamti kuu ili Bariki Kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba Ambalo limekuwa likili lalamikiwa na baadhi ya Wajumbe ambao waliamua Kutoka nje ili Kushinikiza Maoni ya Wananchi yazingatiwe Zaidi Katika Mchakato huo Ambapo Wajumbe Walio wengi Kutoka Ndani ya Chama Tawala na Asasi za Kiraia na Vyama Vingine walionekana Kupigia Chepuo Mfumo wa Serikari Mbili,Tofauti na Maoni ya wananchi ambayo yalikusanywa na Tume ya Katiba iliyo kuwa ikiongozwa na Jaji Warioba. Picha na Mdau wa TEAM MLOWO(Jina Tuna Lihifadhi) Maelezo na DW(Swahili)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top