TASWIRA KUTOKA KIJIJINI:NANI ATAWAFUTA MACHOZI WAKULIMA HAWA??? BEI YA 2500 TU KWA DEBE YAZUA MANUNG'UNIKO! HIKI NI KILIO CHETU SOTE.......!
Pichani ni Ludewa,Kijijini Amani Amani Shehena ya Maindi ya Moja ya wakulima Ikiwa Inaandaliwa na Kupepetwa vizuri ili Kuondoa Uchafu,Huyu Mkulima Anagunia Zaidi ya Elfu Moja hapa na Anaendelea na Uvunaji
Mahindi kama Yanavyo onekana Pichani Kijijini Amani,Ludewa Yakiwa yamesha Vunwa Tayari
Pichani ni Shehena ya Mahindi Ambayo imehifadhiwa Ikiwa inasubiri Soko
Hii ni Taswira Picha Kutoka Kijijini Amani,Ludewa Njombe kama ilivyo Kutwa na Mshika kamera wa MJUMBE BLOG.
Kila Mtaa wa Kijiji cha Amani Umelundikwa na Mahindi na Hata Mashambaini Kumetapakaa Mahindi pia Wakulima Hawajui lini Hali yao Itabadilika na Lini Soko la Uhakiha Litapatikana ambapo mpaka Sasa Walanguzi wana nunua Mahindi kwenye Madebe na Kila Mlanguzi anatumia Debe laka Bei ambayo ina Tumika ni Shilingi 2500 Tu kwa Debe moja la Mahindi!
Huu ni Msiba Mkubwa!Hiki ni Kilio Nani atawafuta Machozi Wakulima Hawa?
PICHA ZOTE NA MAELEZO NA MDAU WA MJUMBE BLOG
Post a Comment