PICHA:MWILI WA DEREVA BODABODA ALIYE GONGWA NA COASTER!
Picha kwa Hisani
Mwili wa marehemu ukiwa umewekwa ndani ya gari.
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Mgogo, ambaye ni dereva wa bodaboda amegongwa na gari na kufariki papo hapo, jioni hii mkoani Morogoro.Gari iliyomgonga dereva huyo ni aina ya Coaster inayofanya safari ya Kihonda Mjini mkoani humo.
Post a Comment