TAARIFA YA KUPOTEA KWA POCHI YA MPIGA PICHA WETU! YENYE VITAMBULISHO!
Juu Pichani ni Repoti ya Polisi Ikionesha Kupotelewa kwa Vitambulisho Vya Mdau na Mpiga Picha wa MJUMBE BLOG Vijijini
Vitambulisho Vilivyo Potea ni kile Cha Kupigia Kura,Kitambulisho Cha Chuo 2009/2011,Kitambulisho Cha ATM,Kitambulisho Cha Kazi!
Katika Vitambulisho Hivyo Vyote Jina Lililo Tumika ni ELASTO MBELLA NGAYA Ingawa Inawezekana Kuna Vitambulisho Jina la Katikati Limefupishwa.
Kama Ukikiona Kitambulisho Hicho Tafadhari Ama wasiriana kwa Namba 0752025002 au Kabidhi Kituo chochote cha polisi kilicho Karibu yako!
TUNA TANGULIZA SHUKRANI ZETU ZA DHATI ASANTE.
MJUMBE
Post a Comment