Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA KUTOKA KIJIJINI:"MKULIMA USILE MBEGU" UTATUUA NJAA! HIZI NI PICHA ZILIZO PIGWA KWA WAKATI TOFAUTI,NA VIJIJI TOFAUTI NCHINI KATI YA 2012 NA 2014!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mahindi ya Mbegu haya yakiwa yame hifadhiwa Vizuri Kabisa Kijijini kwa ajili ya Msimu uJAO Kitu cha Mtama Kimehusika Pichani juu Hapa kik...
Mahindi ya Mbegu haya yakiwa yame hifadhiwa Vizuri Kabisa Kijijini kwa ajili ya Msimu uJAO
Kitu cha Mtama Kimehusika Pichani juu Hapa kiki subirishia Msimu Ufike Kumewahi Kuwepo Hadidhi ya Mkulima aliye Kula Mbegu.... Alimanusura awa ue njaa Wale wa Zee wa Kubanana Hapa Hapa hapa na Walio apa Kukomaa na Jiji...! Mimi Nitoe Rai yangu tu "MKULIMA USILE MBEGU UTATUUA NJAA". ASANTE YA PICHA MJUMBE BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top