Pichani ni Jinsi Madereva Wanavyo Uza Roho wawapo Barabarani!
Mwenda Mbio "Uhai Mali yangu,Roho Mkononi,Mwili Mali ya Wazikaji"
Wana Usalama Barabarani nao Walalamikiwa Kuwa chanzo kwani mara kadhaa wame chelea Uzembe kwa Madereva na kubariki Makosa!
ZINGATIO:LENGO LETU SIO KUMU SEMA MTU HAPA!
Bali ni Kutoa ELIMU ya Tahadhari kwa abiria na Madereva Kuwa Makini Muda wote wanapo kuwa Safarini!
HAKUNA ATAKAUE UTHAMINI UHAI WAKO ISIPOKUWA WEWE MWENYEWE!
Usalama Barabarani ni Jukumu letu Sote.
©Mjumbe Blog Volunteeers.
posted from Bloggeroid
Post a Comment