Unknown Unknown Author
Title: MAN UNITED YAICHAPA QPR 4-0
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR.  Ander Herrera akiifungia M...
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR.
 Ander Herrera akiifungia Manchester bao la pili.
Manchester United wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa na nahodha wao Wayne Rooney.
Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya QPR katika mechi ya Ligi Kuu England inayopigwa Uwanja wa Old Trafford, jijini Manchester. GPL (P.T)
Mabao ya Man United yamefungwa na Angel di Maria, Ander Herrera, Wayne Rooney na Juan Mata.
VIKOSI: 
Man Utd: De Gea, Rafael, Evans, Rojo, Blackett, Blind, Herrera, Mata, Di Maria, Rooney, Van Persie
Walio benchi: Lindegaard, Shaw, Fletcher, Januzaj, Valencia, A Pereira, Falcao
QPR: Green, Isla, Ferdinand, Caulker, Hill, Sandro, Kranjcar, Fer, Phillips, Austin, Hoilett
Walio benchi: McCarthy, Traore, Onuoha, Henry, Vargas, Zamora, Taarabt
NA MJUMBE JR

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top