Kwa wale wajanja wa Boda!
04/10/2014
Je Upo Tunduma au Utakuwa Maeneo ya jirani Siku hizo?
Je Unafikiria Utakako imaliza siku yako huku ukiburudika?
Baada ya pilika pilika za Kusaka Ridhiki wiki nzima na heka heka za hapa na pale!
"Njoo;
Tukutane wote UWANJI ili Tuburudike pamoja huku tuki sindikizwa na Burudani toka kwa wakali wa Pande za Mpakani aka Boda taratibu!
INA KUHUSU SANA HII!
RUKSA KUWA SHIRIKISHA WENGINE UJUMBE HUU.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment