Unknown Unknown Author
Title: TANZIA:MSAANI MWINGINE AFARIKI DUNIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa bongo fleva aliye wahi kutamba na vibao kama Kua uyaone na Usimzarau Usiye mjua! Sais Salim "Side Boy" Mnyamwezi amefar...

Msanii wa bongo fleva aliye wahi kutamba na vibao kama Kua uyaone na Usimzarau Usiye mjua! Sais Salim "Side Boy" Mnyamwezi amefariki dunia Leo Katika Hospitali ya Nyangao iliyoko mkoani Lindi!

RIP SIDE.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI;AMENI!

©Mjumbe Blog Volunteers.

posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top