
Picha ya kwanza ikionesha rais wa Mlowo Mhe.Coaster akiwa amevunjika mkono.

Picha ya pili ikimwonesha Mhe.Rais wa MLW akiwa ameumia.
Naam;Kila Mji una Wenye vyeo vyao! Pia Una wenyewe Ukikatiza Viunga vya Mji mdogo wa Mlowo na Ukasikia Rais amepita hapa au Rais kwa leo yupo mitaa hii! kama wewe ni Mgeni Unaweza ukawa una changanya Cheo hicho na cha Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete Ambaye ndiye Rais Harali wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Jamaa huyu ambaye anatambulika kama Rais wa Mji mdogo wa Mlowo jina lake halisi ana itwa Coaster Tweve! Sio kazi Rahisi ukapewa Heshima ya Kuitwa Rais wa mtaa na sio tu kuitwa! Na ukakubalika pia.Sio bure;Kuna bidii ya Ziada nyuma ya pazia inayo mfanya Mhusika apewe Heshima Hiyo hata kama wengine hatujui!
Baada ya Kuwepo Uvumi mwingi kusiana na tukio husika MJUMBE BLOG ili amua kufanya udukuzi wake kutoka katika chanzo kinacho Aminika Na kunyetishiwa uwepo wa habari za Kuumia kwa Rais wa Mlowo Lakini chanzo cha Ajali hakikuwekwa Wazi!
Chanzo hicho cha uhakika kime kaririwa kikisema kuwa "Jamani wana Mlowo Habari za Kusikitisha rais ea Mlowo apata ajali usiku fiesta na Kulazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya".
Taarifa hiyo ina toa hitimisho ya Chanzo cha ajali hiyo!
Mwenyezi MUNGU amujalie Mhe.Rais wa MLOWO ili Apone Haraka ili aendelee na Ujenzi wa Taifa lake.
MJUMBE BLOG tunatoa Salaam za pole kwa ndugu yetu/Jamaa yetu/Rafiki yetu na Mwana familia Mwenzetu Coaster Tweve.
MUNGU amujalie roho ya Uvumilivu Katika Kipindi hiki chote kigumu anacho pitia.
Picha Zote Hisani ya @TEAM MLOWO
©Mjumbe Blog Volunteers
posted from Bloggeroid
Post a Comment