DINALI MOJA,KWA SIKU MOJA!
Kuna hadithi imewahi kuandikwa zamani katika vitabu vitakatifu! Ali kuwepo baba mwenye shamba
Aliye wapa kazi watu wake kwa makubaliano ya Siku moja kwa Dinali moja.Wale jamaa wali anza kazi mapema lakini kuna mwingine alichelewa na kufika jioni! Wakati wa malipo alikuwa ndiye wakwanza kulipwa na akapewa sawa na wengine walio wahi.Wenzake wale wakaanza kumlaumu tajiri wao kwa kumpendelea ndugu yao! Yule mwenye shamba akawauliza kwani Tulikibaliana kiasi gani? Na sio Dinali Moja? Jamaa hawakukumbuka MakUbaliano ya awali "DINALI MOJA". FUNZO:Elewa vema MKATABA WAKO WA KAZI UNAYO PEWA KABLA HUJAANZA KUIFANYA ILI USIJE UKAZUA MGOGORO NA MWAJIRI WAKO AU MTOA TENDA.Asante ya Picha na Mdau wetu wa kijijini.
#Na:MJUMBE ASIYE SAINI POSHO DAIMA.
Home
»
»Unlabelled
» TASWIRA TOKEA KUTOKA KIJIJINI:WANA IITA TENDA WENGINE WAKAIITA DEIWAKA!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment