Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND ALISUSIA SHOW UINGEREZA KISA WACHEZA SHOW WAKE KUKOSA FIRST CLASS TICKETS!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kume Kuwepo na Uvumi na Mabishano Makali ya wadau na wapenzi wa Mziki wa Kizazi kipya kutaka kujua kama kweli Diamond ali sema Kuwa Hawezi k...
Kume Kuwepo na Uvumi na Mabishano Makali ya wadau na wapenzi wa Mziki wa Kizazi kipya kutaka kujua kama kweli Diamond ali sema Kuwa Hawezi kufanya show Mbeya kwa sababu ni Mkoa usio kuwa na hoteli yenye hadhi ya kufikia yeye...

Katika Kutetea Kauli hiyo Mmoja wa wachangiaji ame kaririwa akisema

"Habari hii nili isikia muda Mrefu hata kabla ya fiesta... Nita wapa mfano Mwezi Agost Mwaka Huu mimi nilikuwa miongoni mwa waratibu wa Ziara yake United Kingdom(UK),Aligoma kuja kufanya show kwasababu tulisema kuwa hatuna uwezo wa kumlipia yeye na wacheza show wake FIRST CLASS TICKET"

Jambo ambalo lina endelea kuzua mvutano Mitandaoni kwa Wapenzi na Mashabiki wa Mziki wa Kizazi Kipya walio Kaririwa waki Mlaumu Msanii huyo aliye jizolea Umaarufu siku za hivi Karibuni Kwenye Media za ndani na Nje ya nchi!

"Wapo Viongozi wengi wa nchi hii wana panda Economy Class... Leo Diamond anataka hadi Madensa wake wapande FIRST CLASS? Na walipo shindwa aka susia show?

Hivi kama ali susia show kisa Madansa wake Kupanda First Class ata shindwa kususia Hotel za Mwakaleli....?"


Haya Yana kuja siku chache tu baada ya Mashabiki walio Jitokeza katika Tamasha la fiesta Kumzomea Diamond akiwa jukwaani na Kumwomba ashuke ili badala yake aje aimbe Ali Kiba! Ambaye Alionekana Kupokewa vema zaidi na kukidhi Kiu ya Mashabiki Walio jitokeza!

Huku akiendelea Kukumbwa na Kashifa ya Kuvaa nguo za jeshi Sakata ambalo nalo limezua Mvutano Mkali! Ambapo Msaani huyo ali itwa kwa ajili ya Kuhojiwa Mahakamani!
Kwa kosa la kuvaa Nguo za Jeshi Kinyume na taratibu na Kanuni za nchi yetu!
Msanii huyo amejikuta akigonga vichwa vya Habari kila siku kwa kuhusishwa na Umaarufu wake! Thamani yake! Na Mtazamo wa Wananchi wengi ambao ndio wamekuwa wakilalamika kuwa wamemtoa mtaani na kumpeleka Kileleni ili aliwakilishe Taifa zima! Lakini kila anapo zidi kupata Umaarufu ana Wadharau na kuwa puuza kabisa.


Andelea Kututembea Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo upate Picha,Matangazo,Habari na Taarifa mpya kila Mara!


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top