
Baada ya Mvutano ulio dumu kwa muda wa wiki mbili.Maasikofu wa Kanisa Katoliki wame pinga kuwa tambua Mashoga na hata kuwa karibisha kanisani.
Aidha maaskofu hao wame kataa kuruhusu walio peana talaka au Kufinga ndoa zisizo za Kikatoliki Kupata Komunio Takatifu.
Credit:Jf
Tunakushukuru kwa Kututembelea!
LIKE ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG au Tutembelee Moja kwa Moja Mtandaoni kwa Kuandika MJUMBE BLOG ili Upate Picha,Matangazo,Habari na Taarifa Muhimu kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment