Unknown Unknown Author
Title: KAVU ZA USO LAIVU:DADA ZETU WENGI WAKISHA FIKA VYUO VIKUU WANA FANANA NA YULE ZUBEDA WA PROFESA JAY!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"Mwanafunzi wa UDSM akielekea Mabibo Hostel baada ya Kuripoti Chuo...ame beba Dranka na Ndoo! Ukitaka Ujue Mjini Shule basi huyu binti...

"Mwanafunzi wa UDSM akielekea Mabibo Hostel baada ya Kuripoti Chuo...ame beba Dranka na Ndoo!
Ukitaka Ujue Mjini Shule basi huyu binti Mtafute baada ya Miezi mitatu asipo ikana.Saa izo atakuwa anaitwa Baby na Kigogo Mmoja hapa Mjini!"
Hisani ya Picha na Maelezo:
Malisa Godlisten

Naam;
Nakumbuka mwaka 2010,Katika Kubadilishana Mawazo na Ankali wangu Mosi Q "Moses Mgallah" Aliwahi Niambia 

"Kama Utafika Chuoni na Ukataka Uwajue Dada zetu kwa Sura na kwa Mionekano yao halisi,Basi Wahi Wiki Tatu za Mwanzo Kuripoti... Hapo Uta wajua! Kwa Sura,Lafudhi,Umbile,Mavazi,Hata Miondoko yao halisi! Lakini mara baada ya Mwezi Mmoja tu! Hauta Jua yupi ni Mtoto wa Shamba na yupi ni Mtoto wa Geti! Si Mavazi! Si Lafudhi! Si Umbo! Si Usafiri wala idadi ya Mabegi! Kuna muda Una anza kuya ona Magari ya Kifahari yaki ingia na kutoka kuelekea vyumba vyao tu! Utadhani Kuna Msafara wa Kiongozi wa Kitaifa...! Na Hapo Kama Ikitokea Kuna Mzazi akasema Amfanyie Ziara ya Kustukiza Mewanae... Atazimia ama kwa kuto Mtambua au kwa kuona kwa vitendo ule wimbo wa I CAN TRANSFORM YOU!"

Hayo sio Maneno yangu mimi bali ni yale Maneno ya Ankali Wangu Moze au 'More Sense'

Leo 2014! Miaka Mitatu tangu Mos Q,Ani eleze Hili Malisa Godlisten Ame Weka Picha na Maelezo kama yaleyale Kwenye Ukurasa Wake!

NAULIZA HIVI:
Dada Zetu;Nani Aliye Waloga????

Mpaka Nasihi za wazazi Wenu Muna ziachia Stendi ya Kijijini Kwenu! Mkisha Ingia Lango la Chuoni Muna badilika kila Kitu?
Mna Sahau Kila Sihi na Saha?


Unatembelea Gari ambalo Haujui Lilipatikanaje na Mwenye nalo ana lipia Gharama zipi ili kuendelea kuli endesha?

Robo tatu ya Muda Utakao ishi Chuoni Una lala Guest au Night Club na Akina "BABA ZAKO WAPYA"

Saluni Kila wiki! Kila Location na vazi lake! 
Simu ya Tochi Uliyo Pewa na Mzazi wako Ina Expaya na Kuonekana outdated na Una Ifanyia Modii ili iwe Smatifoni! 
RB(Rice Beans) Kwaheri ya kuonana Ukirudi kwa wazazi Chuoni Una Vidonda vya Tumbo!
Mmh.
Nisije Nika Tukana bure mwisho wake Nitende zambi.

DADA ZETU WENGI WA VYUO VIKUU.... AKILI ZAO ZINA FANANA NA ZUBEDA????

Shikamoo Pesa.

LIKE ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG facebook ama Tutembelee Moja kwa Moja Mtandaoni Kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG kisha Ingia Hapo ili kupata Habari,Picha na Matukio Mapya mara kwa Mara!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top