
Pichani ni kikosi cha Azam Kikiwa mapumzikoni kwa ajili ya kujiandaa na Mechi Zidi ya Mbeya City!

Gari ya Kikosi cha timu ya Azam ikiwa ime zingirwa na Ulinzi Mkali Kama inavyo onekana Pichani.
Wao wana jiita ni Jeshi kamili..
Mechi 37 bila kufungwa sio mchezo!
MJUMBE BLOG Tuna watakia Maandalizi mema zidi ya Mechi yao na MBEYA CITY iliyo Mbele yao.
Ni Haki yako Kupata Taarifa na Habari Mpya kila Mara!
LIKE Ukurasa wetu wa MJUMBE Blog Facebook au Andika MJUMBE BLOG kisha uingie Hapo Kwa Habari,Matangazo,Picha na Matukio mbali mbali.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment