
MJUMBE BLOG tuna toa pongezi kwa Mchezaji Anthony Matogolo kwa kuonesha bidii na Uwezo binafsi hadi kuibuka Mshindi kwa mwezi Septemba.
Pia Pongezi zetu tuna zielekeza kwa Timu nzima ya MBEYA CITY kwa kuweza kuwalea vijana wake vizuri kabisa ili waweze kung'aa hata nje ya Mipaka yao!
Tutembelee Mtandaoni andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo mara kwa mara.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment