Mwili wa Marehemu huyo ukiwa una ning'inia juu ya mti kama ulivyo kutwa na Mashuhuda kabla ya Kuondolewa na Polisi.
Mashuhuda walio jitokeza eneo la tukio alipo jinyongea Marehem.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki iliyo pita jijini Dar es salaam Pale Kijana aliye julikana kwa jina moja la Pius alipo kutwa amejinyonga na kufariki aki ning'inia mtini!
Kwa mjibu wa Mashuhuda kijana huyo ni Mwenyeji wa Rukwa na baada ya taratibu za Kiusalama kukamilika mwili wa Marehemu Ulisafirishwa Rukwa Sumbawanga kwa Mazishi.
Mwenyezi MUNGU ailaze roho ya Marehemu Peponi Ameni.
©Mjumbe blog Volunteers.
Post a Comment