Unknown Unknown Author
Title: MASWALI SABA YA LEMA NA MAUAJI YA MTUHUHIWA WA UGAIDI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
1.Tobo la risasi katika hiyo picha Linaonekana tumboni. Je hapo ndipo lilipo tako la kulia?   kwanini wadanganje..?? what are they hiding...



1.Tobo la risasi katika hiyo picha Linaonekana tumboni. Je hapo ndipo lilipo tako la kulia?   kwanini wadanganje..?? what are they hiding? ???
























2.Nani mwenye uwezo wa kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa na kukiri kwake kuhusika na
matukio ya ugaidi?.


3. Hivi mtu anayekimbia anapigwaje risasi ya tumbo? Alikua anakimbia kinyumenyume
au? Maana kama kweli alikua anakimbia angepigwa risasi kwa nyuma kwa maana ya mgongoni si tumboni.

4. Hivi unaweza kumkamata mtuhumiwa wa kulipua mabomu tena anayejua kucheza "karate na judo"halafu umsafirishe bila kumfunga pingu????

5.Kwa jinsi ambavyo nguvu kubwa ilitumika na Polisi wenyewe na hata Serikali na
chama tawala kupotosha juu ya tukio lile la milipuko kwenye mkutano wa CHADEMA
Arusha,na kwa jinsi ambavyo Rais Kikwete aligomea wito wa Chadema na makundi
mbalimbali ya kijamii wa kumtaka aunde tume ya kijaji (Judiciary commission)
kuchunguza mauaji yale, kwa nini tuwaamini polisi kuhusu taarifa na
maelezo yao kuwa mtuhumiwa alitoroka akiwa chini ya ulinzi kisha akauawa???

6. Tukumbuke kuanzia mwanzo jeshi la Polisi na hata Rais hawakuonyesha nia njema katika hili leo hii tuwaamini walikuwa wana nia njema ya kumfikisha mtuhumiwa kwenye mikono ya sheria????

7. Kifo cha mtuhumiwa katika "Mazingira tata" mikononi mwa watuhumiwa wengine
(Maana hata polisi walituhumiwa kuhusika)lazima kitaacha maswali mengi bila majibu

Tunahitaji jeshi linalotoa huduma(PoliceService).
nitakuwa wa mwisho kuamini tukio hili....... Na:Godbless Lema


LIKE Ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Moja kwa moja Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Taarifa na Habari Mpya Mara kwa Mara!

©Mjumbe Blog Volunteers.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top