Unknown Unknown Author
Title: MIMBA ZA UTOTONI NI TATIZO NCHINI MWETU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
a idadi iliongezeka kwa sababu kabla ya hapo, wengi wao walikuwa ni waogo wa kuhudhuria klinic, lakini mwaka jana wengi wao walihudhuria. V...
a idadi iliongezeka kwa sababu kabla ya hapo, wengi wao walikuwa ni waogo wa kuhudhuria klinic, lakini mwaka jana wengi wao walihudhuria.
Vile vile alizitaja takwimu za wanafunzi walioacha mimba kutokana na ujauzito kuwa mwaka 2005 waliacha wanafunzi 421; mwaka 2006 waliacha 297; mwaka 2007 waliacha 231 wakati mwaka 2008 walioacha walikuwa 197.
Anasema, takwimu zinapungua mwaka hadi mwaka kutokana na elimu inayoendelea kutolewa, pamoja na walimu kusimamia kwa bidii sualahilolimewafanya wanafunzi wenyewe kuimarika na kujua umuhimu wa elimu, sekondari za kata nazo zimesaidiasana.
UTAFITI WA MIMBA ZA UTOTONI NA FISTULA TANDAHIMBA KWA KUWEZESHWA NA utu mwanamke AMBAO WANAFADHILIWA NA WATU WA MAREKANI
 
 
 
Msicha
Msichana Edna Alawi wa kijiji cha Namikupa Tandahimba ni miongoni mwa wasichana ambao wamekatisha masomo baada ya kupata mimba za utotoni, hapa akimnyosha mtoto wake wa miezi 8 na nyuma yake kuna mtoto wake wa mwaka mmoja na miezi sita.

Kulea kusaidiana, kijana huyu alikutwa katika hospitali ya Wilaya ya Tandahimba akimsindikiza mkewe kuwatibia watoto wao mapacha.

Mganga mkuu wa hospitali ya Wilaya ya Tandahimba Bw.Idd Msonde akiongea na waandishi wa habari hawako pichani juu ya mimba za utotoni na ugonjwa wa fistula.


Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kutwa Namikupa wkiingia ndani ya nyumba waliyopangakamabweni la wavulana kijijini hapo.


Wanafunzi wa Shule ya sekondari Namikupa wakichota maji kisimani umbali wa kilometa tatu kutoka kijijini wanapoishi na kusoma.
Bagikan :

LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG Facebook au Tutembelee Mtandaoni moja kwa Moja kwa Kuandika MJUMBE BLOG ili Upate Picha,Matangazo,Habari Mpya na Taarifa Muhimu mara kwa Mara


©Mjumbe Blog Volunteers.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top