Unknown Unknown Author
Title: PICHA NA MAELEZO:JAMII YA FARU WEUPE AUAWA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hifadhi ya wanyama nchini Czech ime sema faru Mweupe ajulikanaye kama Suni ame fariki dunia nchini Kenya,akiwa na Umri wa miaka 34.Sababu y...

Hifadhi ya wanyama nchini Czech ime sema faru Mweupe ajulikanaye kama Suni ame fariki dunia nchini Kenya,akiwa na Umri wa miaka 34.Sababu ya kufariki kwake haikujulikana ingawa Hifadhi hiyo haikuondoa sababu kuwa ali uawa na Majangili.
Faru huyu alizaliwa katika hifadhi ya Dvu Kralove mwezi June.

Alikuwa mmoja wapo wa faru wanne walio pelekwa Afrika mwaka 2009 katika hifadhi hiyo!
Kujaribu kunusuru kabila hilo la faru kutoweka Kabisa Kwa Mjibu wa Hifadhi hiyo baada ya Suni Kuna Faru wengine Site tu Walio Salia Duniani.



LIKE ukurasa wa MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Moja kwa Moja Mtandaoni kwa Kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo ili Upate Picha, Habari Mpya,Matangazo na Taarifa Muhimu kila mara.

©Mjumbe Blog Volunteers.





Ddd

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top